Welcome to my blog!

Meet the Author

Ut eleifend tortor aliquet, fringilla nunc non, consectetur magna. Suspendisse potenti.

Looking for something?

Subscribe to this blog!

Receive the latest posts by email. Just enter your email below if you want to subscribe!

Tuesday, 28 July 2015

New Video: Nash Mc - Hasi 15

Nguli wa rap nash mc ameachia video ya wimbo wake mpya, wimbo unaitwa "hasi 15" 
Read More »

Friday, 24 July 2015

New Music video : Navy Kenzo ft Vanessa Mdee - Game

Navy Kenzo wameachia video ya nyimbo yao mpya wakimshirikisha mwanadada anaye fanya vyema kwenye mziki wa bongo fleva "Vanesa Mdee", Ngoma inakwenda kwa jina la "Game", video imeandaliwa na director kutoka South Afrika na Audio imetengenezwa kutoka studio The Industry pata kuitazama

Read More »

Thursday, 23 July 2015

Picha mbalimbali za maandalizi ya msafara na mapokezi ya rais wa marekani masaa machache yajayo........

Yakiwa yamebaki masaa machache tu kwa raisi wa marekani  "Balack Obama " kuwasili nchini Kenya.  Hivi ndivyo magari kwa ajiri ya msafara na mambo mengine talikuwa yakiwekwa sawa kwa ajiri ya kazi hiyo.
Read More »

Friday, 13 March 2015

New Video: Ommy Dimpoz - Wanjera

Je  tayali umeshaiona video mpya kutoka kwa ommy dimpoz "WANJERA" kama bado pata kuitazama hapa video imeongozwa nao Googafther kutoka south Africa

Read More »

New Video: linex Ft Diamond Platinumz- Salima

Hii ni video ya wimbo mpya "SALIMA" kutoka kwa linex, wimbo amemshilikisha Diamond Platinumz pata  kuitazama hapa
Read More »

Thursday, 12 March 2015

New music: Linex ft Diamond platinumz - Salima

Linex ameachia rasimi wimboa aliomshirikisha diamond platinuz wimbo unakwenda kwa jina "SALIMA", Wimbo umetayalishwa nae Tuddy Thomas , kama kawaida ya linex ametumia lugha zaidi ya moja katika wimbo huu , pata kuisikiliza na kuidownload
Read More »

Tuesday, 3 March 2015

New Music- Ya Moto Band- Mpaka Nizikwe

Hii ni hiti nyingine kutoka ya moto band chini yake mkubwa fella ngoma inakwenda kwa jina "Mpaka Nizikwe"
Bofya kuweza download
Read More »

New Music: Allikiba -Chekecha Cheketua


 Allikiba ameachia nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la chekecha cheketua
bofya hapa kuweza kudownload
Read More »

Maelfu wauaga mwili wa Captain John Komba jijini Dar es salaam

Mamia ya watu wamejitokeza nchini Tanzania kumuaga marehemu Captain John Komba, mbunge na msanii maarufu wa uhamasishaji aliyefariki siku ya Jumamosi.
Captain Komba atakumbukwa kwa uhodari wake katika kuimba nyimbo za kuhamasisha wananchi katika mambo mbalimbali hasa ya kisiasa kwa niaba ya chama chake cha CCM.Mpaka anafariki alikuwa mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi. Kando na siasa, Komba alishiriki katika uhamasishaji wa jamii mfano wimbo wa ‘Mgeni’ uliokuwa ukitoa elimu juu ya ugonjwa wa UKIMWI.
Read More »

Pohamba:ndiye mshindi wa tuzo ya Mo Ibrahim kwa mwaka 2014

Rais anayeondoka madarakani nchini Namibia Hifikepunye Pohamba, 79,ameshinda tuzo ya dola milioni tano ya Mo Ibrahimu ya uongozi wa Afrika.
Tuzo hiyo ya dola milioni 5 hutuzwa kiongozi wa Kiafrika aliyechaguliwa na anayeongoza kwa njia bora na kuinua maisha ya watu na kuondoka ofisini
Read More »

New music Video: Tanchy- Mabawa

Kundi la mziki tanchy linaloudwa nao  Chibwa na Tanah wameachia video ya wimbo wao ujulikanao kwa jina la "Mabawa" , Video imeongozwa nae marijani pata kuitazama hapa........

Read More »

New Music Video: Fid Q- Bongo Hip Hop

Mkali wa miondoko ya hip hop  fid q ameachia rasim video ya nyimbo yake  ambayo iliombwa na mashabiki wake kabla hajaachia nyimbo nyingine kutoka kwake. Fid Q ameonesha mfano mzuri kwa kuwasikiliza mashabiki wa mziki wake nini wanakihitaji kwa muda sahihi. Maneno hayo ameyazungumza Fid Q mwenyewe katika kipindi cha XXL cha clouds Fm,  Video imeongozwa nae Nisha director anaye kuja kwa kasi kwenye tasinia ya mziki nchini....

Read More »

Thursday, 26 February 2015

Chid benz ameachiwa huru baada ta kulipa faini.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imemwachia mwanamuziki Rashid Makwilo 'Chid Benz' baada ya kulipa faini, Awali msanii huyo alipewa adhabu ya kifungo cha miaka miwili jela au kulipa faini  kufuatia kukamatwa akiwa na madawa ya kulevya.
Chid Benz alikamatwa mwaka jana katika Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akiwa na madawa ya kulevya, ikiwemo misokoto ya bangi.
Mwanamuziki huyo ambaye alikiri kosa hilo wiki iliyopita, alikamatwa uwanjani hapo akiwa anajitayarisha kupanda ndege kwenda Mbeya kwenye tamasha la muziki.

Read More »

Wednesday, 21 January 2015

New music: Dulayo ft Prof J -Mokomoko

Daada ya kimya cha mda mrefu hatimae Dulayo  msanii wa mziki wa miondoko ya bongo freva ameachia wimbo wake mpya aliomshlikisha prof J. wimbo inakwanga kwa jina Mokomoko
Read More »

Wednesday, 10 December 2014

New Music Video: Peter Msechu ft Amini- Nyota

Hii ndio video ambayo ilikuwa ikisubiliwa kwa hamu na mashabiki wa peter Msechu ngoma inakwenda kwa jina  Nyota akiwa amemshilikisha Amini video imeongozwa nae einxer pata kuitazama
Read More »

New music Video: Niki wa Pili ft Ben paul & GNako- Sitaki Kazi

Niki wa pili kutoka weusi kampuni ameachia video ya wimbo wake aliowashilikisha Ben paul na GNako ngoma inakwenda kwa jina SITAKI KAZI , video imeongozwa na director kutoka kenya pata kuitazama hapa........
Read More »

Thursday, 20 November 2014

New Video: Mr Blue-Pesa

pata kutazama video mpya kutoka kwa mr blue
Read More »

New Video: Diamond Platinumz- Nitampata wapi

Hii ndio video mpya kutoka kwa Diamond Platnumz  ngoma inakwenda kwa jina la 'NTAMPATA WAPI'.video hii imeandalia Afrika Kusini .chini wa uongozi wao goodfather pata kuitazama hapa........
Read More »

Thursday, 13 November 2014

New music: Ney wa Mitego - Akadumba

ney wa mitego ameachia wimbo wake mpya unakenda kwa jina la Akadumba pata kuusikiliza hapa
Read More »

Monday, 27 October 2014

Kesi ya kuzama kwa meli korea:Waendesha mashitaka wataka Nahodha kunyogwa

Waendesha mashitaka wa Korea Kusini wameomba adhabu ya kifo dhidi ya nahodha wa kivuko cha Sewol, ambacho kilizama mwezi April na kuua zaidi ya watu 300.
Waendesha mashitaka wamesema Lee Joon-seok, ambaye anashitakiwa kwa mauaji ya kutokusudia, alishindwa kutekeleza jukumu lake.
Wito wa waendesha mashitaka hao umekuja wakati wakikamilisha hoja zao katika kesi ilianza kusikilizwa mwezi Juni 2014.
Read More »