New Music video : Navy Kenzo ft Vanessa Mdee - Game
Navy Kenzo wameachia video ya nyimbo yao mpya wakimshirikisha mwanadada anaye fanya vyema kwenye mziki wa bongo fleva "Vanesa Mdee", Ngoma inakwenda kwa jina la "Game", video imeandaliwa na director kutoka South Afrika na Audio imetengenezwa kutoka studio The Industry pata kuitazama