Nguli wa rap nash mc ameachia video ya wimbo wake mpya, wimbo unaitwa "hasi 15"
...
tzone
Tuesday, 28 July 2015
Friday, 24 July 2015
New Music video : Navy Kenzo ft Vanessa Mdee - Game

Navy Kenzo wameachia video ya nyimbo yao mpya wakimshirikisha mwanadada anaye fanya vyema kwenye mziki wa bongo fleva "Vanesa Mdee", Ngoma inakwenda kwa jina la "Game", video imeandaliwa na director kutoka South Afrika na Audio imetengenezwa kutoka studio The Industry pata kuitazama
...
Thursday, 23 July 2015
Picha mbalimbali za maandalizi ya msafara na mapokezi ya rais wa marekani masaa machache yajayo........

Yakiwa yamebaki masaa machache tu kwa raisi wa marekani "Balack Obama " kuwasili nchini Kenya. Hivi ndivyo magari kwa ajiri ya msafara na mambo mengine talikuwa yakiwekwa sawa kwa ajiri ya kazi hiyo....
Friday, 13 March 2015
New Video: Ommy Dimpoz - Wanjera
Je tayali umeshaiona video mpya kutoka kwa ommy dimpoz "WANJERA" kama bado pata kuitazama hapa video imeongozwa nao Googafther kutoka south Africa
...
New Video: linex Ft Diamond Platinumz- Salima
Hii ni video ya wimbo mpya "SALIMA" kutoka kwa linex, wimbo amemshilikisha Diamond Platinumz pata kuitazama hapa
...
Thursday, 12 March 2015
New music: Linex ft Diamond platinumz - Salima

Linex ameachia rasimi wimboa aliomshirikisha diamond platinuz wimbo unakwenda kwa jina "SALIMA", Wimbo umetayalishwa nae Tuddy Thomas , kama kawaida ya linex ametumia lugha zaidi ya moja katika wimbo huu , pata kuisikiliza na kuidownloa...
Tuesday, 3 March 2015
New Music- Ya Moto Band- Mpaka Nizikwe

Hii ni hiti nyingine kutoka ya moto band chini yake mkubwa fella ngoma inakwenda kwa jina "Mpaka Nizikwe"
Bofya kuweza downloa...
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)