Yakiwa yamebaki masaa machache tu kwa raisi wa marekani "Balack Obama " kuwasili nchini Kenya. Hivi ndivyo magari kwa ajiri ya msafara na mambo mengine talikuwa yakiwekwa sawa kwa ajiri ya kazi hiyo.
Kila mahali ambapo Obama anaenda huwa ana usafiri wa ndege yake ya Air Force One, na hata gari yake pia ambayo inaitwa ‘Cadillac One, Limo One au The Beast‘
Kila mahali ambapo Obama anaenda huwa ana usafiri wa ndege yake ya Air Force One, na hata gari yake pia ambayo inaitwa ‘Cadillac One, Limo One au The Beast‘
Air Force One