"Tusipopenda
kukubali Matokeo na Ushindi wa Wenzetu basi Daima Hatutaweza kuwa
Washindani....Muhimu ni kujua wapi tulipotoka na Wapi tulipo Leo...
Katika Nchi zaidi ya 20 zenye wasanii zaidi ya Million 40, kuchaguliwa
Tanzania ni fursa, Heshima na Hatua kubwa... Cha Muhimu ni kuitumia
vyema Fursa Hii na Kuhakikisha Mwakani tunapiga Hatua Zaidi!.... Asante
sana kwa wote wanaozidi kuni support kwa hali na Mali, Mapambano ndio
kwaaaanza yanaanza sasa.....!!!!!!@wcb_wasafi For Life Baby ������"
Diamond alikuwa kwenye kipengele cha BEST AFRICAN ACT , tuzo hiyo imenyakuliwa na msanii Davido kutoka nigeria
source by habari kwanza