Hii ni baada ya maafisa wa shirikisho hilo kumpiga marufuku mchezaji wa nchi hiyo Luis Suarez. Suarez alipata adhabu hiyo ambayo inasemekana kuwa kali sana kuwahi kutolewa katika hoistoria ya kombe la dunia kwa kumuua mchezaji wa Italia Giorgio Chiellini.Mchezaji huyo aliitaja adhabu hiyo ya marufuku ya miezi minne ikiwemo kutocheza mechi 9 za kimataifa kama adhabu ya kinazi.
Monday, 30 June 2014
Rais wa Uruguay atukana maafisa wa FIFA kutokana na hukumu waliyoitoa kwa suarez