MATOKEO YA KIDATO CHA 6 2014 YATANGAZWA Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 – 21, yametoka.
Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825 Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.
bofya hapa upate kuyangalia