Ni mara chache sana kukuta wasanii wawili wakubwa kushiriana zaidi ya mara moja. hebu tazama video mpya kutoka kwa J Martine ft DJ Arafat & Fally Pupa-Faro, hii imetoka baada ya ile ya kwanza(TOUCH MY BODY) kufanya vizuri kunako midia tofauti ulimwenguni.
pata kuitazama hapa
pata kuitazama hapa