Yule msanii kutoka jiji la miamba Barakah da prince ameachia nyimboyake ambayo ilishawahi kupigwa katika radio mbalimbali jijini mwanza. Yeye mwenyewe amesema hii ni kama zawadi kwa mashabiki wake, nyimbo mpya ataachia mwezi October.
BARAKAH DA PRINCE - SIO FINE
Download hapa
BARAKAH DA PRINCE - SIO FINE
Download hapa