Baada ya kimya cha mda mrefu na habari nyingi zikiwemo za madai ya kufukuzwa nchini Kenya kwa kosa la kutembea na mke wa kigogo fulani Sasa Mwana bongo freva Hussein Machozi ameachia video ya wimbo wake mpya ngoma inakwenda kwa jina la Haru. Pata kuitazama ......