Welcome to my blog!

Meet the Author

Ut eleifend tortor aliquet, fringilla nunc non, consectetur magna. Suspendisse potenti.

Looking for something?

Subscribe to this blog!

Receive the latest posts by email. Just enter your email below if you want to subscribe!

Monday, 23 June 2014

Baadhi ya picha katika show ya diamond aliyoifanya belgium wikiendi iliyopita


Mara kwa mara tumekua tukitoa taarifa nzuri na njema juu ya muziki wa Tanzania unavyopata nafasi ya kuvuka mipaka ya nchi ambayo kwa sasa kulingana na baadhi tu ya wasanii kadhaa wanaenda nje kufanya show picha zao zimekua zikibeba taswira kubwa ya kitu walichoenda kufanya.
Miaka kadhaa nyuma ziliwahi kutoka stori kuwa wanamuziki wengi wa Tanzania wanapoenda kufanya show nje mara nyingi hawapigi show kwenye club kubwa na taarifa hiyo iliunganishwa na maneno kuwa muziki wa Tanzania bado haujawa na nafasi ya kuwa na mashabiki wengi.
Kwa picha kadhaa ambazo wasanii wanapost kwa sasa wanapokuwa kwenye show zao nje ya nchi utaungana nami kwa kuamini kuwa muziki wa Tanzania umekua kwa kiasi kikubwa sana kiasi kwamba umekaa kwenye ramani inayotambulika kimuziki.

Diamond Platnumz ni miongoni mwa wanamuziki kutoka Tanzania ameendelea kutuwakilisha vizuri kwenye majukwaa ya nje ya nchi,cheki jinsi wakazi wa Bergium walipopata nafasi ya kushuhudia show ya Diamond Platnumz.