Fifa watoa hukumu kwa suarez kwa kosa la kumng'ata mchezaji mwenzake
Fifa imemfugia mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Uruguay kutoshiriki mechi tisa za kimataifa pia kutojihusisha na masuala ya soka kwa miezi minne kwa kosa la kumng'ata mchezaji wa timu ya Italy.