Pamoja na kutolewa katika hatua ya kumi na sita bora katika kombe la dunia, mashabiki wa soka nchini Algeria wameipokea kwa shangwe kubwa pale ilipowasili nyumbani kutoke Brazili ilikokuwa ikishiriki kombe la dunia.
Timu ya Algeria ilionesha ukomavu katika soka mpaka pale ilipotolewa na Ujerumani katika hatua ya kumi na sita bora.
Timu ya Algeria ilionesha ukomavu katika soka mpaka pale ilipotolewa na Ujerumani katika hatua ya kumi na sita bora.