Baada ya kuachwa na yanga Athumani ameonekana akifantya mazoezi kunako klabu ya Azamu Fc
Baadhi ya picha zikimwonesha Athumani Iddi Chuji wakati akifanya mazoezi na klabu ya tanzania bara leo asubuhikatika uwanja wa azam complex uliopo chamazi jijini Dar es salaam