Welcome to my blog!

Meet the Author

Ut eleifend tortor aliquet, fringilla nunc non, consectetur magna. Suspendisse potenti.

Looking for something?

Subscribe to this blog!

Receive the latest posts by email. Just enter your email below if you want to subscribe!

Friday, 11 July 2014

Moto uliozuka usiku wateketeza vibanda vya wafanyabiashara wadogo wadogo Dodoma na kusababisha hasara

Moto huo mkubwa uliteketeza mali nyingi sana za dhamani wafanya biashara wa maeneo hayo ulidumu takribani masaa 3 ambapo jeshi la zimamoto pamoja na wananchi walifanya jitahada za kuudhibiti moto huo ili usiweze kuendele, huku jeshi la polisi likiimarisha ulinzi wa kutosha kutokana na vibaka kuvamia eneo hilo.
Baadhi ya mashuhuda waliokuwepo eneo hilo walidai chanzo cha moto huo kilionekana kutokea kwenye nguzo ya umeme iliyokuwa maeneo hayo ambapo inasemekana ndio sababu kubwa ya moto huo.