kwa mara ya kwanza pata kuangalia video ya wimbo mpya kutoka kwa linah sanga, wimbo unaitwa Ole themba. Hii ni video mpya kutoka kwa linah chini ya uongozi mpya unaosimamia kazi zake za mziki. Ambapo jana aliagwa rasimi kutoka kwenye uongozi wake wa zamani THT. video imetengenezwa na kampuni ya Godfather kutoka South Afrika.pat kuiangalia hapa