Welcome to my blog!

Meet the Author

Ut eleifend tortor aliquet, fringilla nunc non, consectetur magna. Suspendisse potenti.

Looking for something?

Subscribe to this blog!

Receive the latest posts by email. Just enter your email below if you want to subscribe!

Tuesday, 15 July 2014

PAMOJA KUTOCHUKUWA KOMBE LIONEL MESSI APOKELEWA KWA FULL SHANGWE NA RAIS WA ARGENTINA CRISTINA FERNANDEZ DE KIRCHNER....! PATA KUANGALIA MAPICHA



Rais wa Argentina Cristina Fernandez de Kirchner (kulia) akimsalimia mchezaji Lionel Messi mara baada ya kuwapokea leo baada ya kurudi nchini kwao
.Mchezaji wa Argentina Lionel Messi Julai 13, 2014 amepokelewa nchini kwao na Rais Cristina Fernandez de Kirchner mara baada ya kushinda zawadi ya Mpira wa Dhahabu iliyotokana na kuwa mchezaji bowa katika mashindano ya Kombe la Dunia yaliyomalizika jana nchini Brazili. Mshabiki wengi wa soka wamempongeza sana mchezaji huyo kwa jinsi alivyocheza japo timu yake haikuweza kuwashinda Wajerumani.

Rais wa Argentina akimpa pongenzi meneja wa timu yao Alejandro Sabella.Pembeni ni mchezaji Lionel Messi.

Viongozi wa nchi ya Argentina wakifurahia jambo mapema leo mara baada ya kurudi nchini kwao.

Wachezaji Messi akiwa ameshikilia mpira wake wa dhahabu baada ya kuibuka mchezaji bora katika mashindano ya kombe la dunia 2014 yaliyomalizika jana nchini Brazili na kuifanya timu ya Ujerumani kuibuka washindi.