Pata kusikia taarifa mpya kuhusu hali ya Snura wa Majanga umeipata.
Baada ya kusikika maneno mengi sana juu ya uhusiano wa Snura na mpenzi
wake anayefahamika kwa jina la Dj Hunter,Soudy Brown amekuja na taarifa
ambayo inahusu hali ya Snura kwa sasa ambapo inasemekana ni Mjamzito. sikiliza hapa