Maelfu ya mashabiki wa soka nchini ujerumani wajitokeza kwa wingi mjini berlni kauwapokea mabingwa wa kombe la Dunia 2014, baada ya kuwasili kutokea Brazil ambako mashindano ya kombe la dunia yalifanyika kuanzia June12 hadi Julai13
Ujerumani hawajahii kujukua kumbe hii tangu mwaka 1990 ambapo walifanikiwa kulichukua mbele ya Arigentina ya Maradona ikiwa ni Mara ya Tatu tokalilipo anzishwa na hii sasa ni mara ya Nnee baada ya kipindi cha miaka 20
Philip lamu akiwa amenyanyua juu kombe mbele ya mshabiki mjini berlnikocha wa ujerumani Joachim Loew
Mesut Ozili akishuka ndani ya ndege
Wachezaji wa Ujerumani wakiwa juu ya gari kubwa wakionyesha kombe mbele ya mashabiki wa soka katika mitaa mbalimbali mjini berlin
kocha wa ujerumani