New video: Victoria Kimani ft. Ommy Dimpoz, Diamond Platnumz- Prokoto
Hii ndiyo video kutoka kwa Victoria Kimani iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa mziki wa bongo flaver ambamo wameshirikishwa Ommy Dimpoz, Diamond Platnumz ngoma inaenda kwa jina la Prokoto pata kuitazama