Hii ndiyo Video Nyingine Kali Sana Kutoka Kwa Msanii Wa Hip Hop Nay Wa Mitego Iliyotengenezwa Na Kevin Bosco Jnr Wa Decent Media ngoma inakwenda kwa jina la Mr Nay huu ni ubunifu mkubwa kutoka kwa msanii mwenyewe mpaka kwa mwongozaji wa video hii wamefanya kitu cha tofauti kabisa na ambavyo watu wengi hutengeneza video zao vichwani kabula ya video yenyewe pata kuitazama hapa.......