Msamaha wa rais nchini burudi umeanza kutekelezwa nchini humo na kuwafanya mamia ya wafugwa kuweza kuungana na familia zao. lengo la serikali ni kuwachia huru wafugwa takribani elfu tatu kutoka magereza mbalimbali nchini humo. hii ni kutokana na mrundikano mkubwa wa wafungwa katika magereza ya nchi........