Behind the scene ya video ya Africa rising: Davido, Diamond platinumz, Tiwa savage,
Tazama video ambayo inaonesha behind the scene ya nyimbo ambayo inawashirikisha wasanii wakubwa kutoka Afrika kama Davido, diamond platinumz,Mikasa, Tiawa savage, sarkodie na Rola Rae wakishoot video ya Africa rising . Video hii imeshootiwa nchini GHANA.